AISHA BUI AJIFUNGUA


STAA wa filamu za Kibongo, Aisha Bui
amepata mtoto wa kike aliyejifungua kwa njia
ya upasuaji lakini kumekuwa na usiri mkubwa
katika jambo hilo.
Staa wa filamu za Kibongo , Aisha Bui .
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni , Aisha
alisema anamshukuru Mungu kwa kumjaalia
mtoto wa kike aliyempa jina la Saloma.
“Nimefurahi sana, kumpata mtoto ni jambo la
kumshukuru Mungu na sasa najisikia raha
sana kuitwa mama, ” alisema Aisha na
kuongeza kuwa , mwanaume aliyezaa naye ni
mchumba wake wa siku nyingi ambaye
anaishi nje ya nchi na wanatarajia kufunga
ndoa siku si nyingi .

0 comments:

Post a Comment