STAA wa filamu Bongo , Wema Isaac Sepetu
ameibuka mshindi katika shindano la Ijumaa
Sexiest Girls akiwabwaga Elizabeth Michael
‘Lulu ’, Nelly Kamwelu , Jacqueline Wolper na
Jokate Mwegelo usiku huu ndani ya Dar
Live .
Shindano hilo lilikuwa linaendeshwa kupitia
Gazeti Pendwa la Ijumaa linalochapishwa na
kampuni ya Global Publishers Ltd .
WEMA SEPETU NDIYE IJUMAA SEXIEST GIRL
11:06 PM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment