Wakati ziara ya dunia ya kikombe halisi cha
kombe la dunia ikiendelea kabla ya kukabidhiwa
kwa mmiliki wake mpya ambaye ni mshindi wa
mwaka huu huko Brazil, maafisa wa China
wamekamata makombe feki ya kombe la dunia
zaidi ya 1,000, yaliyokuwa yamedhamiriwa
kuuzwa katika kona mbalimbali za dunia.
Ikiwa zimebaki siku chache kabla kombe la dunia
2014 halijaanza kutimua nyasi huko Brazil ,
maafisa wa forodha wa China wamekamata
makombe hayo ya dhahabu 1,020 huko katika mji
wa Yiwu yakiwa tayari kusafirishwa kuelekea
Libya kuuzwa, na kabla ya hapo makombe
mengine feki 1,008 yalikamatwa.
Posted by Boss Ngasa at 09:30
WACHINA NI NOOOMA!WAKAMATWA NA MAKOMBE FAKE YA DUNIA ZAIDI YA 1000!
10:54 PM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment