Hata masaa 24 hayajapita tangu akabidhiwe
tuzo yake ya sexiest girl tayari inaonekana
ameshakutana na negative comments baada ya
kushinda hiyo tuzo.
Kwenye mashindano hayo alikuwa na warembo
wenzake Jokate,Lulu,Nelly Kamwelu,Jackline
Wolper hatimaye alifanikiwa kushinda tuzo hiyo.
Wema ametumia ukurasa wake wa instagram
kutoa yaliyo moyoni mwake na ameandika,
“If u got it flaunt it….. Ndo nshashinda…. kama
hujapenda kasage chupa kunywa…. maana
naona sasa its too much khaaaaaaaa.!
Ebu mnitue mie mtoto wa watu… And again
much love to y’all dat support me… nawapenda
sana…. nimemaliza…. Award yangu ndo
hiiiiiiiiooooooooo…… next year tusubiri mwingine.
Nalala zangu…. tukutane kesho…. najua wengi
mnanipenda ni wachache wenye vijiba vyao vya
roho…. Wema atabaki kuwa Wema tu…
Bhaaaaas.”
WEMA AWATOLEA UVIVU HATERS INSTAGRAM
3:11 AM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment