Habari zilizoufikia hivi punde kutoka
mkoani Simiyu ni kwamba watu zaidi ya 20
wamefar i ki dunia na wengine wengi
kujeruhiwa baada ya basi la Luhuye
walilokuwa wanasaf i ria kutoka Musoma
kwenda Mwanza kugonga nyumba na
kupinduka wilayani Busega mkoani Simiyu.
Inaelezwa kuwa majeruhi hawana msaada
kwani ajali hiyo imetokea eneo la k i jijini.
Habari Kamili kuhusu tukio h i li la
kusikitisha zitakujia hivi punde kupitia
mtandao huu!
BREAKING NEWS...AJALI MBAYA YA BASI YAUA WATU ZAIDI YA 20 HUKO SIMIYU...HAPA
1:40 PM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment