TOA HEAD LINE

Siku kadhaa zilizopita kuliwahi
kulipotiwa na kuonesha picha Irene
Uwoya akimtomasa sehemu nyeti
Msanii mwenzake wa maigizo Haji
Adam na kuzua mambo mengi hasa
katika mitandao ya kijamii, lakini
haikuishia hapowawili hawa wamekuwa
wakionekana pamoja mara kwa mara
tena nyakati za usiku na pozi zao
zinaonyesha ishara ya mahaba,

Alipotafutwa Haji
Adam lakini hatukuweza kumpata
vilevile ilitokea kwa irene uwoya kwani
namba yake ilikuwa haipatikani ndipo
tulibahatikakupata mawasiliano ya
rafiki wa karibu na Irene ndipo
akafunbguka "Mbona hao wapenzi
kitambo sema nyiye mmechelewa
kufahamu ukweli tu" alimaliza rafiki
huyo

0 comments:

Post a Comment