VIDEO Queen maarufu Bongo, Agness Gerald
‘ Masogange ’ amekuwa makini na kusafiri
kwa tahadhari kubwa baada ya kunusurika
kwenye msala wa madawa yaliyodaiwa kuwa
ni ya kulevya nchini Afrika Kusini ‘ Sauz ’
mwaka jana.
Video Queen maarufu Bongo, Agness Gerald
‘ Masogange ’.
Masogange alisema kwa sasa akipewa begi
na mtu yeyote lazima alikague kwani
hakufanya hivyo alivyokamatwa awali .
“Nimekoma kwa sasa mtu hawezi kunipa
begi halafu nikamsaidia bila kulikagua ,
nasachi mara mbilimbili ,” alisema
Masogange .
SKENDO MADAWA YA KULEVYA YAMNYOOSHA MASOGANGE
1:53 AM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment