KAJALA : NINA MACHOZI YA KARIBU


STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja
‘ K ’ amefunguka kuwa machozi yake huwa
yapo karibu hivyo ukimuudhi kidogo tu
lazimaalie .
Staa wa sinema za Kibongo , Kajala Masanja
‘ K ’
Akipiga stori mbili- tatu na Bongowood, Kajala
alisema : “Machozi yangu yapo karibu sana
sijui kwa nini huwa nashindwa sana kujizuia
yaani mtu akinikorofisha kidogo tu lazima
nitoe machozi ndipo hasira zitulie . ”

0 comments:

Post a Comment