PFUNK KUMBE ANA MTOTO MKUBWA

“How time fly’s, My baby girl has become a
woman,” ameandika P-Funk Majani aka
‘Dream Big’ kwenye picha ya mwanae
mkubwa wa kike (jina lake halijapatikana
mara moja) aliyoiweka kwenye mtandao wa
Instagram. Mhh! Nani alitegemea kama
producer huyo wa Bongo Records angekuwa
na mtoto mkubwa hivi?
Mtoto wa kike wa P-Funk Majani
P-Funk ana mtoto mwingine mkubwa wa
kike aliyezaa na Kajala aitwaye, Paulette.

Usishangae P kusikia amekuwa babu soon!!

0 comments:

Post a Comment