NICK MINAJ MTATAA!!HAJAVAA NGUO YA NDANI

Nicki Minaj hataki tena kuvaa mawig ya
rangi rangi kama zamani na muonekano
huo umeonekana kuwavutia wengine.
Ndio maana kwenye wasichana
waliopendeza kwenye red carpet ya tuzo
zafilamu za MTV zilizofanyika jana nchini
Marekani, Nicki ni mmoja wao. Akiwa na
gauni jeusi lililolishika vyema umbo lake la
kuvutia, Nicki alikuwa hajavaa kitu
muhimu zaidi..
nguo ya ndani. Hata hivyo kwa muundo
wa nguo yenyewe haikuwa rahisi kushtukia
hili hasa kama ukimwangalia kwa mbele
au nyuma.
NOMA SANAHUYU MTOTO WA KIKE
DAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
AAAAH!!!!

0 comments:

Post a Comment