SHILOLE BAADA YA KUCHUNA BUZI SASA ANACHUNWA YEYE!

Huyu Ndio Bwana Mdogo anyetoka Shilole
anayefahamika Kama Nuh Mziwanda
Chachalundoa
Akizungumza na U heard ya XXL, Clouds FM
leo,Shilole na Nuhu wamesema wanapendana
sana na wamekuwa kwenye uhusiano wa
kimapenzi kwa mda mrefu sasa.
“Tunajipanga mambo fulani yakae sawa pamoja
na mke wangu kila kitu kitakaa sawa,” alisema
Nuhu.
“Kweli tunakama miezi miwili ,mitatu
tunashukuru Mungu tunapendana kiukweli. Yeye
ananipenda na mimi nampenda pia, mimi nipo
real kwake na yeye yupo real kwangu kila mtu
yupo real kwa mwezake. Nilikuwa na girlfriend
kipindi hicho ila tumeachana, tumegombana
siunajua, na nimekaa muda mrefu bila kuwa na
girlfriend, yaani mambo yalifanya tukaonana
tukapendana hivyo .First time nakumbuka
tulikutana studio,alikuja studio Kijitonyama
ambapo mimi nilikuwa nafanya kazi natengeneza
beat zangu skeleton tukaongea mambo mengi ya
kimaisha hatukuwa in deep sana kihivyo, ila
tulivyoendelea kujuana tukaona kila mtu
akamzoea mwenzie,mimi nikiwa mbali
anakasirika na mimi nikiwa mbali nay yeye
anakasirika. Kwahiyo end of the day tukawa
tunapendana kweli yakawa mapenzi.”
Naye Shilole alidai kuwa ni kweli wanapenda na
Nuhu.
“Sijamkana Nuhu,kwanini nimkane kwa sababu
gani? Yeye ananipenda na mimi nampenda,”
alisema Shilole huku akisema yupo tayari kwa
kufunga ndoa na msanii huyo.
Hata ivyo Shilole Amekuwa akioongoza nae
mchumba wake kwenye Show Mbali mbali
anapokuwa anakuwa amakwenda kufanya show
Jumapili iliyopita Shilole alikuwa Maisha Club
Dodoma akifanya Show pia alikuwa nae katika
Show ile katika Show ile Kabala ya kupanda kwa
Shishi byb alipanda Mchumba wake uyo kuimba
na kufuatiwa na Darasa Kisha Shishi Mwenyewe
na kupewa shavu na Recho Toka THT,Steve
Nyerere wa Bongo Movie,Kalala Junior

0 comments:

Post a Comment