MENEJA wa Wema Isaac Sepetu , Martin
Kadinda amekiri kuwa kumsimamia
‘ kummeneji’ staa huyo ni shughuli pevu
kwani ana tabia ya kubadilika .
Meneja wa Wema Isaac Sepetu , Martin
Kadinda akiwa na na Staa huyo.
Alisema Wema anahitahi hesabu kwani kuna
vitu unaweza kupanga naye lakini
akashindwa kutimiza kutokana na hisia zake
binafsi.
“Kuna wakati unaweza kumwambia usitoke
hadi nikuruhusu lakini cha ajabu unakuja
kushtukia mwenzio yupo mtaani jambo
ambalo hamkukubaliana , ni ngumu we’ acha
tu , ” alisema Martin Kadinda ambaye pia ni
mbunifu wa mavazi.
MARTIN KADINDA:KUMMANAGE WEMA NI KIMBEMBE
1:59 AM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment