MARTIN KADINDA AMWITA LULU NYAU

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin
Kadinda amempongeza Elizabeth Michael
‘ Lulu’ kwa kumuita nyau.
Mwanamitindo maarufu Bongo , Martin
Kadinda akipozi .
Martin alifanya ishu hiyo wakati akimtakia
Lulu Happy Birthday Aprili 16 ambapo
mwanadada huyo alikuwa akitimiza umri wa
miaka 19 . Paparazi wetu alipomhoji
kuhusiana na kumuita nyau , Martin
alifunguka:
Elizabeth Michael ' Lulu ' .
“Yule kwangu ni mdogo , nimemlea tangu
akiwa anasoma sekondari pale Perfect Vision
Ubungo, nimetumia neno nyau kama utani
lakini nikimaanisha mdogo kwangu .”

0 comments:

Post a Comment