MAMA TUNDA"NILISHAMFUMANIA AFANDE SELE SANA NA HANA HESHIMA"


Kupitia You heard ya April 15 alisikika Afande
Sele ambaye alikosea ujumbe mfupi wa
maandishi kwa mhusika ambaye alikua Mama
Tunda leo kapatikana na kazungumza pia
kilichopo kati yao kama wazazi wa watoto
wawili Tunda na Asante Sanaa.

0 comments:

Post a Comment