MAMA AMTEMBEZA MUMEWE KAMA MBWA BAADA YA KUMFUMANIA NA MWANAMKE MWINGINE


Mapenzi muda mwingine yanakuwa na vituko
vyake na vinapotokea huwashangaza na
kuwaacha watu midomo wazi. Mama huyu
alimfumania mmewe na mwanamke mwingine
na mumewe alianza kuomba msamaha na ndipo
mama huyu aliamua kumsamehe ila kwa kumpa
adhabu mumewe na adhabu yenyewe ndiyo
kama hiyo unayoiona ya kumtembeza mumewe
kama mbwa kwa muda wa siku 3
Kama wewe unaweza kukubali kufanyiwa hivyo
na wewe mwanamke unaweza kumfanyia hivyo
mpenzi wako/mumeo?? toa maoni yako hapo
chini

0 comments:

Post a Comment