HUYU NDIO HALIMA KIMWANA!DADA WA KICHINA WA DIAMOND

Huyu ndiye halima kimwana ni maarufu huko instagram kwa kumchukia wema,na pia hutumia nguvu nyingi sana kutaka watu wajue yeye ni ndugu wa diamond!cha ajabu akiulizwa undugu wao upo vipi huwa anakosaga jibu!....ila data za chini ya carpet ni kwamba halima hapo zamani sana ndiye alimuunganisha diamond kwa dalali ambaye ndo alimtaftia nyumba ya kupanga na pia halima nae ni mmanyema kama diamond!...amefikia mpaka kujiita halima dangote jina analotumia diamond!...na inasemekana aliwahi kumkana kaka yake wa damu moja kisa hakutaka watu wajue familia yake halisi ni ipi!....buhahaha halima umetishaaa dadeki @ni mimi hapa mzee wa kuwapanga!!kuna tatizo??

0 comments:

Post a Comment