JESHI LA POLICE LATOA DAU KUBWA KWA ATAUETAJA NANI KALIPUA BOMU ARUSHA

Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza zawadi ya
Tsh.Milion 10 kwa mtu atakayewezesha
kupatikana kwa wahusika walioshiriki mlipuko
wa bomu lililolipuka Arusha,Bomu hilo lililipuka
mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye bar ya
Arusha Night Park ambalo
lilisababisha majeruhi kadhaa.
Mkurugenzi wa makosa ya jinai Tanzania Dci
Isaya Mgula amesema uchunguzi wa awali
uliofanywa na wataalam wa mabomu kutoka
Jwtz na Jeshi la Polisi Tanzania umebaini bomu
hilo limetengenezwa kienyeji mbali na hilo
lililolipuka Jeshi la Polisi pia lilibaini bomu lingine
lililokuwa kwenye mkoba uliokua umeeegeshwa
pembeni ya kiti kwenye bar jirani ya Washington

0 comments:

Post a Comment