LULU AWAJIBU WABAYA WAKE


Mtoto mzuri Bongo Movies , Elizabeth Michael
‘ Lulu’ amefunguka kuwa amejikita kupiga
kazi ili kutunisha akaunti yake ya benki na
kuwafanya wabaya wake waumbuke.
Mtoto mzuri Bongo Muvi , Elizabeth Michael
‘ Lulu ’.
Akipiga stori mbili tatu na Bongowood, Lulu
alisema anatambua wapo watu wengi
wanaotaka aharibikiwe lakini dawa yao ni
kufanya kazi kwa bidii .
“Waache wachonge weee , mi natunisha msuli
kuhakikisha akaunti yangu benki inasoma
mamilioni , watanielewa tu , ” alisema .

0 comments:

Post a Comment