JB APONGEZWA KUMWANIKA MKEWE


BAADA ya kuishi kwenye ndoa muda mrefu,
msanii wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘ JB ’
kwa mara ya kwanza amemwanika mkewe ,
Irene na kumwagiwa pongezi .
Msanii maarufu wa filamu Bongo , Jacob
Steven ‘JB’ .
JB alipongezwa na mastaa tofauti mara
baada kumuanika mkewe huyo katika
mitandao ya kijamii .
“Mh! Leo JB ameamua kweli maana tangu
afunge ndoa hatujawahi kumuona mkewe ,
hongera sana, Mungu awajalie , ” alisema
Mayasa Mrisho ‘ Maya.

0 comments:

Post a Comment