HATARI SANA..AGNESS MASOGANGE AWAPA MAKAVU LIVE KINA MASOGANGE FEKI...!


Mrembo Agness amefunguka kwa mara nyingine
tena na kulalamikia wadau wanaofungua account
fake kwenye social networks na kutapeli watu
kwa kutumia jina lake. Mrembo huyo amepost
picha na ujumbe huu hapa chini kupitia Instagram
yake:

0 comments:

Post a Comment