KOREA KUSINI :ABIRIA WASIMULIA AJARI


Baada ya ndege kupotea hii ndio meli
iliyozama na hadi sasa 300 hawajapatikana
Zaidi ya watu 300 bado hawajapatikana
baada ya meli kubwa iliyobeba watu 459
kuzama huko South Korea ambapo sehemu
kubwa ya watu waliokuwemo kwenye meli
hiyo ni wanafunzi na walikuwa wanasafiri
kutoka kwenye bandari ya Incheon kwenda
kwenye kisiwa cha Jeju.
Watu watatu wamesharipotiwa kufariki
licha ya watu zaidi ya 300 kutoonekana na
13 wametolewa kama majeruhi huku
uokoaji zikiendelea ambapo hadi habari hii
inawekwa shughuli za uokoaji zinaendelea
na watu wengi wanaokolewa kupitia
madirisha huku chanzo cha ajali kikiwa
hakijajulikana

0 comments:

Post a Comment