Nyota wa mpira wa miguu toka Brazili,
Ronaldinho kwa mara nyingine tena
ameonyesha kwamba naye ni sukari ya
warembo.
hii ni mara baada ya ku-posti picha hii
akiwa na warembo watano waliovaa bikini
kwenye swimming pool.
RONALDINHO AONESHA KWAMBA YEYE NI SUKARI YA WAREMBO
1:00 PM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment