CATHY:KUSHINDANA MAGARI NI USHAMBA!

MKONGWE katika sanaa, Subrina Rupia
‘ Cathy ’ amewapa makavu wasanii wenzake
ambao kila kukicha wanasifika kwa
kushindana kununua magari mapya .
Mkongwe katika sanaa ya maigizo, Subrina
Rupia ‘ Cathy’ .
Akizungumzia malengo yake mbele ya kinasa
sauti cha Amani, Cathy alisema yeye siku
zote anaamini zaidi katika kuwekeza kwenye
ujenzi wa nyumba na si magari kama wasanii
wengi wanavyoendekeza na kudai ni
ushamba .
“Wanaowekeza katika magari mi nawaona
washamba, wajanja wengi tumewekeza
katika nyumba ndiyo maana mimi nina
nyumba yangu, naendelea kutafuta fedha
nijenge zingine , ” alisema Cathy .

0 comments:

Post a Comment