Ile meli iliyotangazwa imezama katika ziwa
Victoria na tani 280 ya sukari siyo kweli.
haikuzama ila umefanyika wizi na mmiliki wa
meli hiyo Kitana Chacha wa Mwanza ambaye
ikiwa njiani zilikuja boti kadha kutoka Kenya na
sukari ikapakuliwa na kuingizwa kwenye hizo
boti, na baada ya hapo meli ikazamishwa kwa
kutobolewa chini ingawa haikuzama yote.
Inafaa vyombo husika vichunguze issue hii kwa
kina na huyo Kitana na wafanyakazi wale wa
meli wahojiwe kueleza ukweli.
BREAKING NEWS:MELI ILIYOBEBA SUKARI HAIKUZAMA, SHEHENA IMEIBIWA NA KUUZWA KENYA
10:53 PM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment