Kero la kuzagaa kwa dawa bandia nchini
Tanzania ni hai, na kikubwa ni kwamba nyingi ya
dawa hizo ni zile zinazotumiwa kutibu ugonjwa
wa Malaria.
Changamoto hapa ni kwamba mamilioni ya
watanzania huugua ugonjwa huu kila mwaka
huku maelfu wakifariki.Wapate wapi tiba?
Je ulijua kama wafanyabiashara wanaoiona hali
hii kama pengo la kibiashara na nafasi kwao
kuuza dawa bandia?
Wiki hii Haba na Haba inaangazia tatizo la uwepo
wa dawa bandia na changamoto inayotokana na
hali hiyo kwa wagonjwa
Msimulizi wako ni Claudia Mayanka
Tatizo la Dawa bandia TZ
3:34 PM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment