MAGARI NA KAPUNI ANAYOMILIKI ODAMA KUMBE ALIHONGWA NA SUGARBABU!

Muigizaji mwenye mvuto wa kipekee na mwenye
haiba ya upole bongo movie, Jennifer kyaka aka
Odama mambo yake ni super ile mbaya,
anaweza kuwa ndiye msanii pekee apa bongo
movie anayeishi maisha expensive kuliko wasanii
wenzie.licha ya kuendesha ndinga ya bei Kali ,
pia anamiliki mjengo wa maana na ni balaa
tupu.sema yeye sio mpenda sifa kama wasanii
wenzie.
Inasemekana yupo na mh. First class apa bongo
ambaye ndiye aliyemfungulia kampuni ya filamu
ya bei mbaya pamoja na kumnunulia vifaa vya
kisasa kutoka majuu.
Achilia mbali kuwa na mh huyo ambaye ana
mamlaka na pesa chafu kuliko Clement, hyo
haijamfanya odama abweteke na kusubiria pesa
za mh huyo , kwani demu anapiga kazi ile
mbaya, hana mchezo na kazi yake hata kidogo,
anajituma kama mtumwa licha ya kuwa na huyo
mh ambaye ana pesa za kumtunza na kumlisha
maisha yake yote.
Msanii huyo mrembo na mwenye mvuto na
ambaye alibebwa na kubebeka inasemekana
sasa ivi ana ujauzito mkubwa wa mh huyo.

0 comments:

Post a Comment