BAADA YA KUIKIMBIA ACCOUNTA YA INSTAGRAM BAADA YA KUTOSWA NA DIAMOND HATIMAYE LEO PENNY AMEPOST!

Penny baada ya kutoswa na Diamond miezi kadhaa amekuwa hapost chocho ktk account yake japo huwa anacomment na kulike post za watu mbali mbali!leo mida hii ya usiku mara pap!kapost picha yenye maneno hayo na kumtag jb!haya ngoja tuone nini kitaendelea maana ana historia ya kutukanwa kila anapopost picha!
CHEZEA INSTAGRAM WEWE!.....WATAKUTANGAZAAAAA!

0 comments:

Post a Comment