apper mwenye uhusiano na kundi la Wu-Tang
Clan, Andre Johnson hana tena kiungo
kinachomfanya aitwe mwanaume kwakuwa
madaktari wameshindwa kuunganisha
.
Mtandao wa TMZ uliandika kuwa Johnson aka
Christ Bearer aliukata uume wake jana Jumatano
na kujirusha kwenye nyumba ya ghorofa mbili
anakoishi huko North Hollywood kwa kile
kinachodaiwa kutaka kujiua. Alikimbizwa kwenye
hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center lakini
uume wako umedaiwa kukatika kabisa.
MADAKTARI WASHINDWA KUUNGANISHA UUME WA MWANAMUZIKI ALIYEJIKATA MAKUSUDI
2:28 PM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment