MADAI YA CHAGGA BABY EX WA PREZO BAADA YA VIDEO YA WIMBO WA PREZZO KUTOKA

Baada ya prezzo kutoa video ya wimbo wake wa my gal chagga berbie amepost kipande cha video hiyo instagram na amedai kuwa ameshiriki katika kuandaa mashairi mmmh!!.....buhahaha au ndio mfa maji?angekuwa hajaachwa si angesema ameimbiwa yeye?dem alikuwemo ktk video hiyo ndio anayetoka na prezzo sasahivi!demu mzuri!dem ana figa nisheeeda!

0 comments:

Post a Comment