HUYU NDIYO MTANZANIA WA KIKE ALIYEKAMATWA AKIFANYA MAPENZI HADHARANI HUKO NCHINI UINGEREZA


Imefahamika kwamba Shilla msichana wa
kibongo aliyeko Rumande huko London/UK kwa
makosa ya kufanya mapenzi in the public kumbe
ni By-Sexual yaani ni msichana anayependa
kufanya mapenzi na wanawake wenziwe na
wanaume pia. Habari hizo kutoka huko jela
zinasema kwamba msichana huyu wa kibongo
ambaye ameishi huko kwa muda wa Takribani
Miaka zaidi ya 10 alianza kujifunza tabia hizo
akiwa huko na mpaka kufikia sasa ambapo ni
gwiji kabisa wa vitendo hivyo ambavyo nchini
Uganda adhabu yake ni Kifungo cha maisha.
Hatma ya msichana huyo mpaka leo bado
kujulikana lakini inasemekana kuna uwezekano
mkubwa wa kurudishwa bongo na Serikali hiyo.
Stay tuned!!

0 comments:

Post a Comment