AFANDE SELE AKOSEA SMS YA MKEWE ATUMA KWA MYU MWINGINE

Wadaku  wamefanikiwa kudaka
ujumbe mfupi wa maneno kutoka kwa Msanii
Mkongwe wa Bongo Flava Afande sele uliokua
umekusudiwa kwenda kwa mama watoto wake
Bibie Asha a.k.a Mama Tunda waliyeishi kwa
zaidi ya miaka 10 ujumbe huo ulipotea njia na
kuangukia kwenye Mikono ya Snitch Mzuri wa
Makorokocho, katika Ujumbe huo inaonekana
Mama Tunda alikua anataka kwenda kwa Afande
Sele pamoja na Watoto lakini Afande akawa
anamsihi asiende kwa sababu atakua nje ya
Mkoa wa Morogoro na Afande akamlaumu
mwanadada huyo anayeitwa Asha kuwa
amempotezea Muda, Mali na Nguvu zake nyingi
sana kwa muda wote walioishi pamoja, Afande
akaombwa aachwe alone. -

0 comments:

Post a Comment