RAYUU: NATAFUTA WA KUNIOA

Staa katika tasnia ya filamu Alice Bagenzi
"Rayuu" amefunguka na kusema amechoka
maisha ya kuishi kiupweke hivyo anatafuta
mwanaume wa kumuoa ili naye awe katika ndoa
na aachane na maisha ya ukapera maana kwa
sasa yanamuelemea na kila aonapo watu walio
olewa jinsi wanavyoishi na wanaume zao basi na
yeye anatamani sana maisha hayo.
Akifunguka Rayuu alisema "natafuta mwanaume
wa kuniweka ndani ambaye atakuwa mkweli
atanipenda kwani nimechoka maisha ya kisela
nataka niwe mke halali wa mtu tena mwanaume
atakayekuja kwangu nitampenda sana"
Pia aliongezea kwa kusema "mimi ni binti mzuri
tena bado mdogo hivyo maisha ya kurukaruka ni

0 comments:

Post a Comment