SHOGA MAARUFU AACHA USHOGA NA KUOA MKE!

Picha hii hapa juu (kushoto) ni enzi zake za
ushoga alipokuwa akiitwa Anti Asu na picha ya
kulia nia pale alipo kuwa ameamua kuachana na
ushoga na kuamua kutafuta mke na
kumchumbia mbele ya kanisa.
Amos na mkewe siku walipo funga ndoa yao.
Kweli Mungu mkubwa na tunawatakia kila la
kheri katika ndoa yao.

0 comments:

Post a Comment