Karne hii watu maarufu wamekuwa
wakijiweka wazi kukiri kujiunga katika
jumuiya ya watu wanaomwabudu shetani
“Freemason” kama Jay z, Kanye West,
Drake, Lady Gaga na wengine kibao kwa
minajili ya kujipatia utajiri na umaarufu na
ndipo hata siri zao zimekuwa zikivuja siku
hadi siku. Mingoni mwa siri zao hizo ni
nembo ambazo zimekuwa zikiwawakilisha
zikiwa na maana ya kumpinga Mungu na
kumpa sifa shetani.
Msalaba uliogezwa “”Inverted Cross” ni
moja kati ya nembo hizo ukiwa na maana
ya kwenda kinyume na ukristu
unaomtukuza Mungu. Juma Jux katika
video yake mpya ya Nitasubiri
anaeyoendelea kushoot huko China
ameonekana akiwa ametupia vazi lenye
msalaba uliogeuzwa.
Juhudi zinaendelea kupata mawasiliano nae
ili kujua ukweli
wa jambo hili kama anajua chochote
kuhusu hili au yeye kwake hizo ni swagz tu.
SASA KILA KITU WAZI MSANII JUX ATUMIWA NA FREEMASONRY~ USHAHID HUU HAPA
12:14 PM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment