PAPAA MISIFA ALAZWA POLISI KWA UTAPELI, KUMBE JAMAA HUWATAPELI WASANII NA KUSEPA! SOMA HAPA


MSANII wa kizazi kipya nchini Tanzania Jailun
ally A.k.A Jailun boy de loved,anatarajia
kumfikisha mahakamani aliyekua manager wake
Msafiri Peter Damian, Jailun ambaye alimkabidhi
Papaa misifa kiasi cha pesa shiling Milion 2
kwajili ya promo ya kazi yake mpya aliyefanya
na Alikiba (Naumia Roho), lakin boss uyo hakuna
chchote alichokifanya zaid ya kubomoa pesa za
dogo,mnamo mwezi wa 3 jailun tar 20 Jailun
alimkamata papaa misifa na kumlaza sero siku
moja katika kituo cha police staki shari ukongo
Jijini Dar Es Salaam,baada ya kutoka kwa
mdhamana ndio dogo akaamua kwenda
kumshitaki mahakamani kwa utapeli wa manager
fake uyo,Jailun akizungumza,
Unajua jamaa yule sikujua kama ni tapeli kiasi
kile alinikuta nafanya show snowie hotel
bomang'ombe akanikubali sana na akaomba kwa
my brother NGEREZA kunichukua ili anitoe,lakini
cha ajabu nilikaa muda sana bila kuona msaada
wake wowote, baadae akasema mimi na Ngereza
tuchange tutoe milion 3" kwajili ya kazi zangu,eti
na yeye atachangia milion 3 iwe sita,kumbe yule
jamaa tapeli sana sijawahi ona asee,ndipo tulipo
mpa hakuna alilofanya zaidi ya kutoa shiling
20000 kwa kila dj na kazi yangu haikufanya poa
ndipo nikaanza kuhangaika mwenyewe,kiukweli
namchukia sana yule mtu ni adui no moja katika
mafanikio yangu,

0 comments:

Post a Comment