MZEE MENGI AFUNGUKA TENA KWENYE TWITTER YAKE LEO LIVE!! DAKIKA 12 ZILIZOPITA!!


Reginald Mengi
12 mins · Twitter ·
"Nawapongeza @gnyaissa
(Sh1m) @GNdewario (laki 5)
@PolycarpMramba (laki 3)
ambao ni washindi wa tweet bora
Mach."
  Haya watumiaji wa twitter changamkeni kutweet vitu vya maana mzee mengi anatoa zawadi ya pesa kila mwezi,ije na instagram jamani mweh mzeee kupanga watu wallah ningejipinda mpaka kumpanga yeye why kaoa bint kama mwanae hahaha angenipa tu hiyo zawadi

0 comments:

Post a Comment