MWISHO MWAMPAMBA ALAMBA SHAVU,


Aliyekuwa mwakilishi wa mara mbili kutoka
Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa,
Mwisho Mwampamba ataonekana hivi karibuni
kwenye kituo cha runinga cha TV1 kama
mtangazaji.
Kupitia Instagram, TV1 wameweka picha hii ya
ya baadhi ya wafanyakazi wa TV1 akiwemo
Mwisho na kuandika; Guess who’ll be next as
#TV1Host #tv1tanzania #comingsoon
#tvproduction #tv #tanzania #africa
#daressalaam #mikocheni #studios #set

0 comments:

Post a Comment