MTU ALIYE ANGUKIWA NA ROLI LA MCHANGA JANA AKIWA NDANI YA GARI MZIMA AMEUMIA KIDOLE TU..


Huyu Jamaaa Ana Bahati Sana
Aliangukiwa na Roli likiwa na mchanga
kama picha inavyoonyesha hapo juuu ..
lakini jamaa katoka mzima
kabisa..kidole tu ndio
kimeumia..Nilivyoona hii picha ya Ajali
kwa mara ya kwanza sikudhani kama
driver atakuwa kasalimika....

0 comments:

Post a Comment