MTOTO MPYA MKARE SANAAA WA PREZZO BAADA YA KUMMWAGA CHAGGA BERBIE!

Huyu ndio mtoto mkale wa prezo baada ya kummwaga chagga berbie yule mwanadada mtanzania anayeishi marekani yule asiyeishiwa na skendo za mabwana na picha za uchi,huyu mtoto pia ameshiriki katika video ya wimbo wa prezzo wa my gal dah mtoto body yote nje km vipi ucheki huo wimbo utube searc my gal by prezzo utaniambia kuwa prezo kwa kuchagua ni sheeeda!

0 comments:

Post a Comment