Wakati mashabiki wa kundi la muziki
linaloiwakilisha vizuri Afrika kidunia P-Square
kutoka Nigeria wanaendelea kuwaombea ndugu
hao wamalize tofauti zao, mke wa Peter Okoye
aitwaye Lola Omotayo, amevunja ukimya kwa
kuzungumza baada ya ripoti kumtaja kuwa
sehemu ya chanzo cha matatizo ya familia hiyo
yaliyojitokeza.
Kupitia ukurasa wake wa facebook Lola ambaye
ni mama wa watoto wawili wa Peter ameandika:
“I’m a Lady of Substance though I have my
Shortcomings, I might not be Loved by Everyone
but the People that matters to me hold me in
High Esteem and thats enough for Me.”
Kwa mujibu wa Naija Gists, chanzo kimoja
kimesema ndugu hao wanafanya jitihada za
kumaliza tofauti zao.
MKE WA PETER OKOYE, LOLA OMOTAYO AJIBU SHUTUMA ZA KUSABABISHA UGOMVI WA P- SQUARE
3:15 AM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment