MAJANI AMUOA MAMA WA MTOTO WAKE PARVEEN

Pfunk majani afunga ndoa leo saa7 mchana ,habari za chini ya kapeti zinasema baada ya kajala kusikia pfunk anataka kuoa alichanganyikiwa na kumfata pfuck kumpigia magoti kuwa asifunge ndoa na huyo hidaya akihofia ataiweka wapi aibu yake! Pfuck akamkubalia kajala kama kumtuliza lakini leo sa7 ndio kafunga ndoa na hidaya......wife material ni tabia na sio tako na sura !

0 comments:

Post a Comment