HUYU NDIO BIBI YAKE DUDU BAYA ALIYEMKATA SIKIO KWA MADAI NDIO ANAMLOGA

Siku mbili zilizopita stori mbalimbali kwenye
mitandao zilihusu msanii wa longtime
kwenye bongofleva aitwae Dudubaya kudaiwa
kumkata sikia Mama yake mkubwa kwa
kinachosemekana kuwa tuhuma za kichawi
lakini siku moja baadae Dudubaya alikanusha
kupitia U Heard ya XXL Clouds FM kwamba
hajamkata bibi yake sikio, yeye sio mtu wa
kufanya hicho kitendo.
Sasa leo Mama mkubwa huyu wa Dudubaya
amezungumza na Waandishi wa habari na
kuthibitisha kweli kukatwa sikio na Dudubaya
ambapo shahidi mwingine aliyezungumza ni
mjukuu wake.
Maelezo waliyoyatoa ambayo ndio
yamenifikia sasa hivi yatawekwa hapa
baadae

0 comments:

Post a Comment