HIZI NDIZO TATTO MPYA 2 ALIZOCHORA DIAMOND


Msanii nyota kutoka Bongo Diamond
Platnumz ameonekana akiwa na tattoo
nyingine mbili kwenye mwili wake tofauti na
zile alizochora akiwa China.
Tattoo hizo kama ukiitizama hii picha ya
juu vizuri utaona kuna tattoo iliyoandikwa
CHIBU pamoja na mkononi hapo
iliyoandikwa SANDRA.
Siku ya tarehe 15 mwezi huu mchora tattoo
maarufu hapa Bongo alipost picha hii akiwa
na Diamond na kuandika status hii
nainukuu
“A late night Tattoo session (4am) with a
friend who is our very own Diamond
Platinumz. Next session Pizza on me (lol),
stay blessed.one love.”
So inaonyesha kabisa kuwa tattoo hizi
mbili Diamond alizichora kwa master huyu
anayejulikana kwa jina la BOAZ ndiye
aliyemchora Diamond.

0 comments:

Post a Comment