BABA ,MAMA WASWEKWA LUPANGO KWA KUTUPA MTOTO

Taifa Muhimbili.
N hali ya kushangaza, lakini ndivyo ilivyo,
baadhi ya watu wanasaka watoto lakini
wengine wanawapata na kuwatupa. Kisa
hiki kimetokea jijini Dar es Salaam hivi
karibuni ambapo mtoto huyo wa mwaka
mmoja sasa anayelelewa Hospitali ya Taifa
Muhimbili, wazazi wake wamekutana na
mkono wa sheria na kutupwa Gereza la
Segerea baada ya kubainika kuwa,
walimtupa mtoto huyo huku wakijua ni
kinyume cha sheria.
Kwa mujibu wa chanzo chetu kutoka Idara
ya Ustawi wa Jamii Muhimbili zinasema
kuwa, wazazi hao ambao wametajwa kwa
jina mojamoja, Peter na Happiness
walikutana na kuishi kama mke na mume,
baadaye mwanamke huyo alipata ujauzito
na ulipotimiza miezi miwili, mwanaume
huyo akaingia mitini.

0 comments:

Post a Comment