LULU MICHAEL ASEMA YA MOYONI INSTAGRAM KUHUSU JOKATE MWEGELO.

Ikiwa ni kwa wasanii wachache sana wenye mapenzi ya kweli kwa wenzie Lulu Michael aonyesha upendo wa dhati na kumwaga sifa kedekede  mwanadada Jokate Mwegelo. Kupitia akaunti yake ya instagram Lulu Michael au Hotlulumichael  au Elizabeth Michael aaamua kumwaga yake . 

Tazama hapo


RAY C AMTAKIA MKE MWENZA HBD

Kizaazaa kimetokea baada ya Ray C anaesifika kukata mauno kimaridadi na kufanikiwa kuteka mume wa mtu alipo post picha ya mke mwenza Zamaradi Mketema akimtakia siku njema ya kuzaliwa, baadhi ya mashabiki wa Zamaradi hawakupendezwa na picha iliyowekwa ya Zamaradi iliyoonekana kua ni ya miaka ya 1990 na kuanza kuporomosheana matusi makubwa makubwa.....tiririka na majanga ya kitaaaaaaa..........................



Haya matusi yakaanza;

Kuna jamaa anatumia kimsales87 katika instagram alionekana kumtetea Zamaradi na kumsema Ray C kua kwa nini aliweka hiyo picha hapo juu lakini namna aliyotumia ilikua full matusi,akakutana na kibonde chake kinatumia matikibokoyao ilikua ni kama alshabaab ya matusi; tutaweka picha za namna walivyotukanana na kujibizana endelea kutiririka nasi............

Jamaa akaonekana kuchemsha chezea mtoto wa Tandale wewe uswahilini degree yako ambayo hujamaliza inawekwa pembeni huku ni maneno unaweza chambwa ukazimia.........


















Yalaaaaaaaaaaaa.......................mtoto wa uswazi akaporomoka

Nisaidieni Traffic asije akanionea

Sasa hapa mwenye kosa nani , na nani anakuja kupima hii ajali ,tafadhali nisaidieni huyu jamaa aisje kunionea